info@selianlh.or.tz

(+255)-755-930-952

NEWS

TUNAWATANGAZIA KUWA KWA SASA KUNA KITENGO CHA KUHUDUMIA WATOTO NJITI HAPA HOSPITALI YA SELIAN. KWAHIYO TUNAWAKARIBISHA SANA WALE MAMA WAJAWAZITO KUJA HOSPITALINI NA HATA WALE AMBAO WAMEJIFUNGUA WATOTO NJITI KWANI HUDUMA HIYO NI BEI NAFUU SANA. KARIBUNI SANA