info@selianlh.or.tz

(+255)-755-930-952

Taarifa Mpya kuhusu huduma ya Kliniki ya MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MACHO

·

·

,

KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI KATI NGARAMTONI ikishirikiana na Hospitali ya Kilimanjaro Cristian Medical Centre (KCMC) idara ya macho INAPENDA KUKUTANGAZIA wananchi wote kuhusu huduma ya Kliniki ya MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MACHO kila jumatano ya wiki, hivyo wananchi wote mnatangaziwakuja kupata huduma hizo kwa gharama nafuu.

MUDA : SAA 03:00 ASUBUHI

ITAFANYIKA KWA GHARAMA NAFUU, BIMA ZA AFYA ZITAPOKELEWA

E- MAIL : selianlh@habari.co.tz

PHONE : +255 784 374 496Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 responses to “Taarifa Mpya kuhusu huduma ya Kliniki ya MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MACHO”