info@selianlh.or.tz

(+255)-755-930-952

Taarifa Mpya kuhusu huduma ya Kliniki ya MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA NGOZI…

·

·

,

KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI KATI NGARAMTONI INAPENDA KUKUTANGAZIA kuhusu huduma ya Kliniki ya MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA NGOZI (DERMATOLOGY) kutoka Kilimanjaro Cristian Medical Centre (KCMC).

Itafanyika Kila ijumaa ya Mwanzo wa mwezi katika hospitali ya Selian-Ngaramtoni.

MUDA : SAA 03:00 ASUBUHI

ITAFANYIKA KWA GHARAMA NAFUU, BIMA ZA AFYA ZITAPOKELEWA

E- MAIL : selianlh@habari.co.tz

 

 

 Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

2 responses to “Taarifa Mpya kuhusu huduma ya Kliniki ya MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA NGOZI…”