info@selianlh.or.tz

(+255)-755-930-952

Uzinduzi wa jengo la Maabara na Mionzi

·

·

Hospitali ya Kilutheri Selian iliyopo Ngaramtoni wamezindua jengo la maabara na kuweka wakfu vifaa vya kisasa vilivyopo ndani. Hospitali ya Selian inaendelea kukua huku ikiongeza ubora katika kutoa huduma bora kwa wagonjwa.Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *